Mawazo Waziwazi

by JackSwaleh , August 8, 2024

Ninayowaza siwezi eleza
Kueleza natatizika
Natatizika na haya mawazo
Mawazo kuyawazua yawe wazi
Nayawazia tena sana
Ninayowaza siwezi eleza

Unaeza penda kusoma: "We mnyang'anyi jameni"