Langu Waridi

by Kakakizzy , August 22, 2024

Uzuri wake waridi🌹, likupendeze machoni
Kwenye upepo baridi, harufu nzuri puani
Litimie ja ahadi, likaote mtimani
Mie mvua samaki, kwako nimevua lulu

Unaeza penda kusoma: "Kwaheri ya Kuonana"