Kwenye Heri

by Kakakizzy , August 22, 2024

Kila siku ninasali, kusudi nikufikie
Mbinguni kulo muhali, nami nikashuhudie
Yaliyo semwa awali, sitaki nikajutie
Eti kunako asali, maziwa ni teletele

Unaeza penda kusoma: "Vuta Nikuvute Tena"