Ni nyingi kelele akilini
Napotulia, akili mna kelele
Nitalia hadi lini — ninazidiwa
Napojaribu kutulia, kengele zaongezeka
Ama natokwa na wazimu mimi
Naona ni kama sijielewi
Ni nyingi kelele akilini
Kelele Kengele
by JackSwaleh , August 16, 2024
Unaeza penda kusoma: "Hali Gani Hii Ghali"