Hayawi hayawi huwa
Ukiona vyaelea jua vimeundwa
Kama halipo basi laja
Linalokusudi lina kusudi
Chunga usiwe mpango au mpangoni
Unayoyaona ni hivyo tu
Ajuaye pekee Maulana
Binadamu hugeuka
Hayawi Hayawi Huwa
by JackSwaleh , November 4, 2024
Unaeza penda kusoma: "Moyo Wangu Waugua"